JANA ILIKUWA KITCHEN PART YA SAUDA MWILIMA HONGERA SANA ,WATOTO WAMUJINI WALIKUWEPO BOFYA UONE.

Friday, December 23, 2011 14 Comments

Sauda akiingia ukumbini tukimshangilia kwa raha zake.
Jiachie kuolewa raha bibi hata walete fitina.
Mzee yusuph akimuimbia Sauda mtoto kapendeza.
Pamela,Isha mashauzi.
Dokii bonge la style bibi kichwani hapana chezeya weweeeee,Imelda Mtema mamaa ya grobal.
Mamaa Kajala ,mwanamke pozi bibi.
MC Vero.
Amber Rose.
Maya, Davina.
Maya,Davina,Mainda,Cathy.
Chezea Shilole.

Visa,Wema, Rehema.
Dida,Wema, Rehema

Bilaila.
Monalisa,
Junaither,Kajala.
Pamela.
Nargis.

14 comments:

  1. huyu wolper na rangi za nywele mwambie kuna kansa,hongera sauda kwa hatua hiyo

    ReplyDelete
  2. Dida tumesikia wewe, wema na kajala mlitiwa ndani na sintah ilikuwaje? tupe michapo

    ReplyDelete
  3. JAMANI MLIPENDEZA!!! MA STAR WA BONGO MLIMEREMETA. HONGERA SANA SAUDA. NDOA INAJENGA HESHIMA MUMMY.

    REHEMA

    ReplyDelete
  4. AMANI HUYO DOKII SI MLOKOLE? SASA NA HIYO STYLE YA NYWELE INAKUWAJE? AU ULOKOLE ULIMSHINDA? UKITAKA KUMFUATA YESU UIKANE NAFSI YAKO KWANZA JE YEYE YAMEMSHINDA?

    ReplyDelete
  5. sauda alipendeza sana, mbona hujamuweka yule mzandiki aliyetaka kuharibu shuhuri namaanisha sintah naomba umuweke mnafiki mkubwa yule, all in all hongera sauda

    ReplyDelete
  6. Huyo da Rehema alikuja kimakosa???

    ReplyDelete
  7. kwani kukata nywele hivyo ni dhambi? Amri ipi kavunja??

    ReplyDelete
  8. hongera sauda kwa hatua nzuri! ni jambo la kheri. naona mastaa wengine hapo wamechoooooka...huyu mona vipi?? na hadi blog yake kafunga ..tunasubiri wengine nao watafunga tu... duh...hakuna la maana kunaboa...watu kuweni wabunifu..mbona wenzenu wanajitahidi kuweka mambo mambo hadi mtu anapenda tu ku comment! YANA WENYEWE HAYA! YETU MACHO.

    ReplyDelete
  9. Kwa mara ya kwanza namuona Sauda kapendeza

    ReplyDelete
  10. DA SAUDA ALIPENDEZA HONGERA ZAKO MWALI NA UWE MTIIFU KATIKA NDOA YAKO,MUNGU AKUJAALIE WAJINA

    ReplyDelete
  11. hongera saaana dada sauda umenoga ile mbayaaa!! monalisa hiyo nguo shingo yake designe haijakutoa kiviiileee. by the way mlitoka chicha.

    ReplyDelete
  12. hongera sana dada sauda inshaallah Mungu ailinde ndoa yako na hususuda za wanadamu.

    ReplyDelete
  13. mhhhh mona umetokota ,bi Hindu hakuja harusi ya sauda ?namkubali sana bi huyu

    ReplyDelete
  14. nagris hapo ulikuwa tayari?

    ReplyDelete